Full_Sokaupdates Photos on Instagram

See related and similar tags

Zlatan IbrahimoviΔ‡: :: :: πŸ—£ "Michezo Marekani ni gharama sana. Watoto wangu wanacheza kwenye timu nzuri na nalipa $3,500 kwa mmoja. Sipendi utaratibu wao kwasababu sio kila mmoja anapesa za kumudu hizo gharama na michezo inatakiwa kuwa ya kila mtu kwasababu inaunganisha watu." πŸ‘ :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

0

YANGA YAPAMBANA KUMALIZA TATIZO LA MALIPO YA MISHAHARA YA WACHEZAJI :: :: Uongozi wa Yanga umelazimika kuchukua hatua za haraka kufuatia uamuzi wa baadhi ya wachezaji wake kutumia kigezo cha kukosa mishahara kuvunja mikataba :: :: Mmoja wa viongozi amekiri kuwepo kwa changamoto ya kulipa mishahara miezi miwili iliyopita :: :: Hata hivyo amesema wiki ijayo wachezaji watalipwa mishahara ya miezi mitatu :: :: Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Sadney Urikhob kuvunja mkataba huku Lamine Moro nae akichukua uamuzi kama huo :: :: Inaelezwa uongozi wa Yanga uliridhia kuvunja mkataba wa Sadney, lakini suala la Lamine lililoibuka wikiendi hii, litatolewa ufafanuzi siku ya Jumanne :: :: Keshokutwa Jumanne, uongozi wa Yanga huenda ukazungumza kwa kina kuhusu sakata hilo. Cc: yangascpowerfull :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

10

#breezysports_tz : Leo Jumapili, klabu ya Simba, @simbasctanzania inafanya mkutano mkuu wa mwaka ambapo wanachama wamepewa nafasi ya kupendekeza jina la uwanja wao uliopo Bunju B nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Hayo aliyasema Msemaji wa klabu hiyo @hajismanara hapo jana wakati wa kuwaonyesha wanachama wao maendeleo ya uwanja wao ambao utaanza kutumika kwa ajili ya mazoezi na Januari mwakani utazinduliwa rasmi . "Kwenye mkutano ndiko kutapendekezwa jina la uwanja huu kwamba utaitwaje hivyo tusubiri hiyo kesho (Jumapili), hii ndiyo Simba inayowajali wanachama wake," amesema Manara. Simba imejenga viwanja viwili Bunju ambapo kimoja ni cha nyasi bandia kingine nyasi za kawaida ambapo sasa timu yao itaanza kufanya mazoezi. #breezysports_tz #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayosports #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezoonlineupdates

0

Sirahisi kwakweli, kapiga Pep na Mourinho within 4 days πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

2

Marcus Rashford dhidi ya timu kubwa Sita(6) za juu pale EPL msimu huu: :: :: ⚽️⚽️ vs. Chelsea 🎯 vs. Arsenal ⚽️ vs. Liverpool ⚽️⚽️ vs. Chelsea ⚽️⚽️ vs. Tottenham ⚽️ vs. Man City :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

2

Liverpool kwenye Premier League: :: :: βœ… 4-1 Norwich βœ… 2-1 Saints βœ… 3-1 Arsenal βœ… 3-0 Burnley βœ… 3-1 Newcastle βœ… 2-1 Chelsea βœ… 1-0 Sheff Utd βœ… 2-1 Leicester 🀝 1-1 Man Utd βœ… 2-1 Spurs βœ… 2-1 Villa βœ… 3-1 Man City βœ… 2-1 Palace βœ… 2-1 Brighton βœ… 5-2 Everton βœ… 3-0 Bournemouth :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

3

Beki kisiki wa klabu ya @yangasc Lamine Moro ameiandikia barua klabu yake kusitisha mkataba wake na hiyo imekuja baada ya kutolipwa kwa miezi mitatu (3) . . Katika barua yake ameainisha kuwa klabu hiyo haikuwa ikimlipa bonus kwenye mechi ambazo walikuwa wakitoka na ushindi. . . Huyu anakuwa mchezaji wa tatu (3) kuvunja mkataba wake huku tetesi zikidai kuwa Molinga pamoja na Sydney nao wamefikia maamuzi hayo hayo. . . Kwa taarifa hizi unaiona wapi klabu ya Yanga mwisho wa msimu?. . #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @tagato_tza #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ @isike_fred @simbasctanzania @taifastars_ #Dakika90

0