Josephjosey10_ Photos on Instagram

See related and similar tags

HABARI NJEMA :: :: Valencia yathibitisha wachezaji wake wamepona virusi vya Corona..! :: :: Valencia ilikuwa moja ya timu zilizoathiriwa na janga la Virusi vya corona. Klabu icho cha Uhispania kimekuwa na wachezaji kumi wagojwa katika kikosi cha kwanza, pamoja na wafanyakazi wengine wa timu. :: :: Baada ya mapema Valencia kutangaza baadhi ya wachezaji wake (Mangala, Garay na Gaya) kukutwa na maambukizi ya COVID 19 , klabu hiyo, kwa makubaliano ya pande zote mbili na iliamua kutotangaza tena majina ya watu wengine ambao walikuwa na maambukizi. :: :: Valencia ilikuwa imethibitisha kuwa karibu 35% ya waajiriwa wake wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. :: :: Utulivu unaweza kurudi kwenye taifa la Uhispania Baada ya wiki chache ngumu, na kulingana na Marca, wachezaji wote na wafanyakazi wa mwanzo waliokutwa na maambukizi chanya ya ugonjwa wa corona wamepona. :: :: CC: SOKABASE_ :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

1

ZAMALEK WALILETA MAFURIKO : KASEJA HASAHAU. :: :: @maestro_ibrahim alikumbusha Kaseja kuhusu mechi dhidi ya Zamalek iliyochezwa huko Misri mwaka 2003. @simbasctanzania ilishinda kwa penati, ikawatoa Zamalek kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. :: :: @official_juma_kaseja amesema katika maisha yake ya soka hajawahi kucheza mechi ngumu kama hiyo. Baadhi ya mambo anayokumbuka: :: :: 1. "Tuko uwanjani tunafanya mazoezi jamaa wanakunywa kahawa wanatuangalia" - Kaseja. :: :: 2. @maestro_ibrahim amemkumbusha kwamba walifikia hotel ambayo wamekewa picha za Ngono. Kaseja akaongeza kwamba Hotel ya kwanza ilikuwa na Cassino juu (Zamalek walitaka wachezaji wa Simba wabweteke kwa kufanya Starehe) :: :: 3. Kaseja anasema Zamalek ilikuwa bora zaidi ya Simba, lakini Simba walishinda. Anasema "Zamalek walikuwa wanashambulia sana, wanakuja kama mafuriko.....achana na mipira iliyogonga mwamba, Marehemu Alex (Christopher) alijifunga lakini goli lilikataliwa, ndio maana nasema ilikuwa siku yetu tu" :: :: 4. "Kocha wa sasa wa Mbeya City, Amri Said alitakiwa kuingia akakataa akamuimbia Costa ajikaze tu" - Kaseja :: :: 5. Said Sued aligombana na kocha Siang'a kwa sababu wakati anaelekezwa cha kufanya alimuambia kocha "Kama unaona rahisi, ingia wewe" :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

6

Reposted from @sokamasaa24 Leo ni Kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Kwa Mlinda Mlango nambari Moja wa timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake Twiga Stars na Mabingwa wa kandanda la Wanawake Nchini Nchini JKT Queens, Najiat Abbas. :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

3

Kuna watu ukiwapeleka field hawawezi fufanya kile wanachokielezea ila wakiwa wanakuelezea wanaonekana wataalamu sana.... Cheki hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

2

Real Madrid inatazamiwa kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Arsenal Pierre Emerick aubameyang kama watamkosaa msenegal sadio Mane na Erling Brant HΓ₯land. Source Daily Mail :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

0

Klabu ya Leeds United inayoshiriki Championship imevutiwa na Mchezaji wa timu ya Taifa ya Senegal na klabu ya Metz Mshambuliaji Habib Diallo. Habibu diallo anamiaka 24 vilabu vingine vilivyo husishwa kutaka saini ya Msenegali huyu ni Crystal PalaceΒ na Chelsea :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

1

"Mimi nafanya sana mazoezi, lakini pia nakula vizuri. Usiku napata muda mrefu wa kupumzika..hayo mambo ya kujirusha hasa usiku huwa siyapi nafasi," amesema Yondani. :: :: "Nawashauri vijana wazingatie hayo, waache kupoteza muda mwingi kwenye kuchat na kujirusha usiku, wazingatie misingi sahihi ili walinde viwango vyao"-Maneno Ya Beki Wa Klabu Ya Yanga Kevin Yondani. :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

1

1. Jinsi ya kuongea kwenye media. 2. Jinsi ya kujibu maswali yanayohitaji majibu mafupi. 3. Jinsi ya kujibu maswali ya kujieleza. 4. Jinsi ya kujibu shutuma za kweli na zisizo za kweli. 5. Jinsi ya kuitazama camera pia coz kile ni kipindi kama vipindi vingine. 6. Maswali ya aina gani ya kuacha kujibu na ya kujibu. 7. Mengineyo pia kibao. :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

5

●Mwamba wa lusaka @realclatouschama katika moja ya shughuli zake uwanjani. Corona imetukosesha Udambwi Udambwi kama huu. β–ΆWewe mdau umemis nini kwenye upande wa soka kiujumla? .. .. .. β–ΆKwa Updates Mbalimbali follow @joh_updates - - - Powered by @mtaalam___ #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @joh_updates #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

0

NYUMBA INAUZWA MILIONI 80.. Iko boma ng'ombe eneo la Kenyatta, Baada ya Kilimeru lodge, Ina room 3, Moja master bedroom na viwili choo na bafu vyakushea, Sebule jiko na dinning. Eneo la 25 kwa 50, Imezungushiwa ukuta na geti. Ina Maji na Tenk la Lita Elfu 3. Tuwasiliane Kwa 0743010082 - - #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @joh_updates #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

2

Kuna Wanaume wako serious sana uwanjani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na kuna wengine wanaenda kutimiza wajibu tu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

18

Liverpool waingie kwenye maombi mazito sana..... Kama ligi ikifutwa kombe hawapati 😭😭😭 ila kwangu mimi ni non sense kabisa.... Timu imebakiza game mbili iwe bingwa wanasheria ya kijinga sana πŸ€”πŸ€”πŸ€” :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

10

πŸ—£ Patrice Evra: "Nimecheza dhidi ya Messi mara nyingi, siwezi kusema ni mrahisi kumkaba, ila sio mgumu kihivyo kumzuia. Anatabirika." :: :: 😭 Hapo ni Evra akiwa pembeni akimkabili Messi :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

12

Kutokana na Corona kusambaa, Cristiano Ronaldo ameamua kuruhusu hoteli zake za kifahari kubadilishwa na kutumika kama hospital kwa muda huu ili kukabiliana na janga la Corona... πŸ’ͺ :: :: Powered by @lifofotz :: :: #josephjosey10_ #full_sokaupdates #90sportsplusupdates #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc @josephjosey10_ #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleagueπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #zamuyetuafcon2019πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

5