Usiishienjiani Photos on Instagram

See related and similar tags

Unakuta mtu anafundisha halafu anaanza kusema mimi sio kama Motivational Speakers, Mara Mimi sio kama Wahubiri wa Mafanikio, Mara ooh mimi sio hivi sio vile. Sasa tuache kuwataja watu wanaofanya vitu tofauti na sisi na tuendelee kujenga msingi wa kweli bila kuegemea wengine kwa kuwataja taja. Embu jiulize @moodewji akiwa ana nadi bidhaa zake aaanze kusema mimi sio kama @azamtvtz, kwa kweli tutamshangaa sana. Ukiamua kuwa wa tofauti simama kwenye utofauti wako achana na wengine waliobaki kwenye vile ulivyoamua kwenda tofauti navyo. #usiishienjiani #jacobmushi #inspiration

13

NYUMBA IBAPANGISHWA. Eneo iliyopo: kibamba Bei ya kupanga kwa mwezi : tzs 200,000. _________________________________________ CALL Whatsapp &sms +255712660364 kwenda whatsap moja kwa moja Insta @afriastute __________________________________________________________________ HII SIO YA KUIKOSA,,,,,.........!!!!!! KARIBU UKAGUE UTUPE OFFA YAKO.... . . . SIFA:- -2 Vyumba, kimoja Master, Jiko. -sebule. -choo cha public,stoo. HUDUMA ZOTE ZIPO: umeme upo, maji ya dawasco, parking. GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 20000. ____________________________________________ mahitaji yako ya nyumba / vyumba/maeneo ya Biashara ...ya Kupanga na kununua....mashamba/viwanja/ magari nk .....usisite wasiliana nasi haraka. #NyumbaZaAfriastute #nyumbazanguvu #rikidalal #dalal #usiishienjiani #jenga #

0

#usiishienjiani #jacobmushi

4

Hongera, umefika mwezi wa mwisho katika mwaka 2019. HAYA NDIO MAMBO UNAWEZA KUFANYA MWEZI HUU. Inawezekana mwaka huku Malengo yako hayajatimia kwa kiasi kile ulichokua unataka. Chagua Jambo Kati ya Haya. Amua Kuacha ile Tabia Mbaya ambayo umekuwa unajaribu kila wakati kuiacha na unakwama. Hakikisha mwezi huu wote huifanyi. Amua mwezi huu kuacha ulaji mbovu. Hakikisha mwezi huu wote unakula vyakula bora. Amua mwezi huu kuwa mtoaji. Inawezekana kwa mwaka mzima hujafanya chochote kwenye Maisha ya wahitaji unaweza kupunguza katika ile bajeti yako ya kusherehekea siku kuu ukawapa wahitaji. Amua kununua vitabu au Kujiunga na Program za Mafunzo za Kulipia. Hapa inawezekana ni mwaka umekwisha na hujaweza kununua kitabu chochote kipya Usikubali mwezi huu uishe tena vibaya nunua vitabu au lipia mafunzo, nenda semina. Haijalishi ulianzaje mwaka muhimu ni umemalizaje. Usiishie kumaliza mwaka kwa kustarehe na kutumia fedha vibaya kama Wengine fanya kitu cha maana kwenye Maisha yako na ya Wengine. Ubarikiwe sana nakutakia Mwisho wa Mwaka wenye mafanikio makubwa. Bado nafasi Unayo. www.jacobmushi.com #usiishienjiani #jacobmushi #inspiration

0